TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, July 10, 2012

HAWA NDIO WALIOIBUKA KIDEDEA NAFASI YA UJUMBE WILAYA KUTOKA KATA YA KIVUKONI.

6:03 PM
Baada ya kinyang’any’iro cha uchaguzi wa Mkutano Mkuu Kata ya Kivukoni wilayani Temeke jijini Dar es Salaam uliofanyika katika viwanja vya Karimjee, pichani ndio walioibuka mabingwa na kuchaguliwa kuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya.  Kushoto ni Ndugu Adriano Richard Haonga na kulia ni Ndugu Zulfikar Ali Mzige.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA