TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, July 7, 2012

FFU watoa Salam za heri za "SABA SABA"

12:42 PM
Ngoma Africa Band yatoa
SALAMU ZA HERI YA "SABA SABA" KWA WATANZANIA

Bendi ya Muziki wa dansi "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao
yake kule ujerumani inatoa salamu za heri "Saba Saba " kwa watanzania
wote walio ndani na nje ya nchi,bendi hiyo inaipongeza uongozi wa nchi
pamoja na watanzania kwa kuendeleza mila ya kuudumisha sherehe za
"Saba Saba" ambazo pia zinawapa nafasi watanzania kuonyesha na
kushiriki katika maonyesho ya biashara ya bidhaa zinazozalishwa viwandani,
mashambani,na huduma ya jamii.
Mungu Ibariki Tanzania !
Mungu Ibariki Afrika !

 Tufurahie Saba Saba kwa 
kupata raha ya "Supu ya Mawe" na "Bongo Tambarare" kutoka kwa Kikosi kazi Ngoma Africa aka FFU.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA