TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, June 11, 2012

Waziri Wa Maliasili na Utalii Balozi Kagasheki Atua Mkoani Bukoba Nakupokelewa Kwa Shangwe

1:31 PM
 Meya wa manispaa Mh. Anathory Amani akimkalibisha Mh. Waziri Wa Maliasili na Utaliii Balozi Kagasheki
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mama Cositancia Buhiye akimkaribisha Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki
 Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Sheikh Haruna kichwabuta akimsakimia Mh. Waziri Balozi Kagasheki
 mapokezi nje ya uwanja wa ndege
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki akisalimiana na watu mbalimbali waliofika kumlaki mara baada ya kuwasili  Bukoba

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA