TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, June 15, 2012

Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa Akiwasilisha Bajeti Ya Serikali Ya 2012-13,Bungeni Mjini Dodoma

12:11 PM
 Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali  ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya  2012/13 Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa akionyesha mkoba wenye bajeti huku akiwa ameongozana na Naibu Waziri Janet Mbene
 Wapiga picha wakigombea  picha  ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  wakati aliponyanyua mkoba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka  2012/13, Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Mabalozi wa Nchi mbalimbali  waliohudhuria Bungeni kusikiliza Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13 iliyosomwa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA