TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, June 11, 2012

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Waongoza Mamia Ya Watu Kuaga Mwili Wa Muasisi Wa CHADEMA Marehemu Bob Makani Jijini Dar es Salaam

11:51 PM
 Waombolezaji mabo wengi wao ni makada wa CHADEMA wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Bob Makani wakati mwili huo ulipofikishwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kutolewa heshima za Mwisho.
Vioongozi wa juu wa Serikali akiwepo Rais Jakaya Kikwete (watatu kuli) Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilali(wapili kulia) Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (wa nne kulia) walihudhuria.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA