Mwaka 2007 alikuwa Flaviana
Matata,2008 alikuwa Amanda Ole Sululu,Mwaka 2009 alikuwa Illuminata James,zamu
ikawa kwa Hellen Dausen mwaka 2010.
Mwaka 2011 ilikuwa bahati ya
Nelly Kamwelu kutoka Dar es Salaam.
Nani kuvikwa taji la Miss
Universe baada ya Nelly Kamwelu?
Regards,
Seif Kabelele
|
0 comments:
Post a Comment