Taarifa zaidi kuhusu Misa ya mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji mstaafu wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania Marehemu Peter Mwenguo itafanyika leo saa saba mchana tarehe 21/06/2012, katika ukimbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, baada ya misa kutakuwa na kutoa heshima za mwisho hapohapo Karimjee na baadaye msafara utaelekea katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi
|
0 comments:
Post a Comment