TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, June 23, 2012

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AKUTANA NA KULA CHAKULA CHA JIONI NA VIONGOZI WA UMOJA WA WATANZANIA WAISHIO NCHINI BRAZIL

3:08 PM
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na mmoja kati ya wajumbe wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil,wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena,Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, Ally Abdaul Faraji, baada ya kumaliza hafla wakati alipokutana nao katika hafla hio fupi ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakhia Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Katibu wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, Heri Juma Mbwana, wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012.
 Katibu wa Umoja huo, akizungumza na kusoma risala yao kwa Mhe, Makamu wa Rais, Dkt Gharib Bilal
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza Viongozi wa Umoja wa Watanzania, waishio nchini Brazil, wakati alipokutana nao katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012. Kulia ni Mama Zakhia Bilal (kushoto) ni Balozi wa Tanzania, nchini Brazil, Francis Malambugi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mke wa Makam wa Rais, Mama Zakhia Bilal,Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maadhi Juma Maalim, Balozi wa Tanzania nchini Brazil Francis Malambugi, na Balozi Liberata Mulamula, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Umoja wa Watazanaia, wakati alipokutana nao viongozi hao wa moja wa Watanzania, waishio nchini katika hafla ya chakula cha jioni na mazungumzo, iliyofanyika katika Hoteli ya Arena, Rio de Jeneiro, jana Juni 22, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamau wa Rais

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA