TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, June 15, 2012

Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali Wavutiwa na Hifadhi Ya Taifa Ya Serengeti

12:27 PM
 Mnyama aina ya Simba maarufu kwa jina la mfalme wa mwitu akipanda mti ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti  na kuwafanya maafisa Habari na Mawasiliano wa serikali kushangaa uwezo wa Simba huyo.
 Wanyama aina ya Twiga ambao ni moja ya vivutio vikuu  katika hifadhi ya taifa ya Serengeti wakitembea kwa mstari ndani ya hifadhi hiyo.
 Kundi kubwa la Nyumbu wakiwa katikati ya Barabara ndani ya hifadhi hiyo na kuufanya msafara wa magari yaliyowabeba maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali kwenda kwa mwendo wa polepole. Kwa mujibu wa taratibu za hifadhi ni kosa kwa dereva  kupiga honi, kuendesha gari kwa mwendo kasi au kupiga honi ndani ya eneo la hifadhi.
 Maafisa habari wakipata kifungua kinywa katika  eneo la Lamadi lililopo mkoa mpya wa Simiyu wakiwa njiani kuelekea katika hifadhi ya taifa ya Serengeti.
 Mfanyabiashara wa supu katika eneo la Lamadi mkoani Simiyu Bw. Sobia Majuto akiwahudumia baadhi ya wateja wake ambao ni maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali walipokua njiani kuelekea katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti .
Baadhi ya maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili kwenye lango la kuingia hifadhi ya Taifa ya Serengeti  mkoani Mara ikiwa ni moja ya mkakati wa kuhamasisha utalii wa ndani nchini.Picha na Aron Msigwa-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA