TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 5, 2012

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Akagua Ujenzi Wa Barabara Ya Dodoma- Iringa

2:05 PM
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimhoji mambo mbalimbali mtaalamu wa ujenzi wa kampuni ya China ya Sin Hydro, Zhang Wen Ge, alipokagua ujenzi wa barabara ya Dodoma- Iringa, katika eneo linalojengwa na kampuni hiyo lenye kilometa 95 kati ya Migoli na Iringa, alipopita katika barabara hiyo akiwa njiani kwenda mjini Iringa katika ziara ya kikazi, juzi.Picha na Bashir Nkoromo

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA