TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, June 7, 2012

Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Aagana na Spika Anne Makinda Baada Ya Kumaliza Muda Wake

1:10 PM
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Msumbiji hapa Nchini Mhe. Amour Zacarias Kupela, wakati alipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA