TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, May 26, 2012

Wabunge wa chama cha Chadema wavamia Washington DC

12:45 PM
Safari na muziki wameruka na wametua kwa salama usalimin, wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kwanza kulia, Nassari Joshua, Dogo Janja akiwa na  Mhe.   Peter Msigwa ndani ya Washington DC (Picha na Libe Mwangombe)

Ndani ya jiji la Washington Dc Wabunge  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)   waibuka jijini hapa kwa vishindo, huku Watanzania mbali mbali waishio nchini Marekani wakiwasuburi kwahamu siku ya Jumapili Mei 27, 2012,

Madhumuni ya mkutano huo ni kukutana na Watanzania wanaoishi Nchini Marekani kuzungumza juu ya mpango mzima  wa maendeleo  ya nchi yetu kwa jumla, mkutano huo utahudhuriwa na wabunge wa Chadema  Leticia M Nyerere, Mhe. Zitto Kabwe, Mhe. Nassari Joshua Marufu Dogo Janja na Mhe. Mchungaji Msigwa. Bofya hapa >>>>

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA