Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc kwenye meza ya juu wa kwanza kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe. Zitto Kabwe, na Nassari Joshua, Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto) akiwa na Mhe. Maryam Msabaha kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc

Wantazania waishio DMV Nchini Marekani wakiwa katika uzinduzi wa tawi la chadema Washington Dc
Picha na Swahilivilla.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment