TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, May 22, 2012

Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Baada ya Kuhudhuria Mkutano wa G8 Nchini Marekan

10:56 AM

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkaribisha Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jioni, akitokea nchini Marekani ambapo alihudhuria mkutano wa G8.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama leo jioni  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Marekani ambapo alishiriki katika mkutano wa G8.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA