TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, May 23, 2012

Rais Jakaya Kikwete Aongoza Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mjini Dodoma

11:08 PM

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu Mizengo Pinda na Wziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia wakiongoza Mafunzo ya Wakuu wa mikoa, Makatibu Tawala wa mikoa na Wakuu wa wilaya yanayofanyika katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo .
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati mafunzo ya wakuu wa mikoa,makatibu tawala na wakuu wa wilaya inayoendelea katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na wilaya wanaoshiriki katika mafunzo katika ukumbi wa St.Gaspar mkoani Dodoma Leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA