Mbunge wa jimbo la Iringa mjini kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo ( Chadema) mchungajiPeter Msigwa Akimtambulisha mtu aliyekua mwenyekiti wa ccm katika eneo hilo alie jiungana chadema akiwa na wanachama wengine zaidi ya 100 wakimfuata.
Sehemu ya umati wa wananchi Ukimsikiliza Mbunge wa jimbo la Iringa mjini kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo ( Chadema) mchungaji Peter Msigwa

Kijana wa chadema alie katwa mkono na vijana wa ccm ambao wanasemekana kuwa ni watoto wa diwani ccm wa eneo hilo vijana hao walio leta vurugu katika mkutano kwea sasa wanashikiliwa na polisi kesho mh. Msigwa ana tarajia kuongea na vyombo vya habari kuhusu yalio tokea leo.


wakati akimalizia mkutano, vijana wanao daiwa kuwa ni watoto wa diwani wa eneo lile walivamia mkutano nakuanzisha vurugu wakitaka kumvamia Mh. msigwa. nakusababisha vurugu iliyo peleke kukatwa mapanga kwa vijana wa wili wa chadema, mmoja kukatwa mkono na mwingine kujeruhiwa vibaya usoni. vijana hao walio kua wamekusudia kumdhulu mh. msigwa.Picha na Habari na Mbunge wa jimbo la IringaMjini( Chadema)Mchungaji Peter Msigwa
0 comments:
Post a Comment