TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, May 1, 2012

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HAYA HAPA

9:29 PM

Katibu mtendaji Dkt. Joyce Ndalichako leo ametangaza matokeo ya form six, 
Shule iliyoongoza ni MARIAN GIRLS ya Bagamoyo. 

Pia amepunguza adhabu ya miaka 3 na kuwa mwaka 1, iliyokuwa imetolewa kwa watahiniwa waliobainika kufanya udangayifu wa matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2011.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA