TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, May 25, 2012

FFU wa Ngoma Africa Band kuvaana na wakameroon 5000 Stuttgart City,Ujerumani

9:38 AM
FFU Kukiwasha Stuttgart City,Ujerumani


Ngoma Africa Band kutumbuiza katika sherehe ya siku ya taifa ya Cameroon,
                                 Jumamosi 26.052012 mjini Stuttgart,Ujerumani.

                       "FFU jino kwa jino na wakameroon 5,000 wanaoishi Ujerumani"

Stuttgart,Germany.

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU,
inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza
katika sherehe ya siku ya taifa la Cameroon.kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU,
watatingisha jukwaa katika ukumbi wa Arena la  Sportpark Feuerbach, uliopo mtaa 
(Triebweg 85, 70469 Stuttgart,Wakamerooni wapatao 5,000 wanaoishi ujerumani pamoja
na maelfu ya wapenzi wa muziki nchini Ujeruamani watajimwaga uwanjani kupata burudani
kamili kutoka kwa kikosi kazi Ngoma Africa band aka FFU chini ya uongozi wake kamanda
Ras makunja wa FFU,
Ngoma Africa sasa wanatamba na wimbo mpya "Uhuru wa Habari" ambao unasikika at

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA