TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, May 25, 2012

Mbunge wa Ubungo(CHADEMA)Mheshimiwa John Mnyika baada Ya Kuibuka Kidedea Kwenye Kesi Ya Uchaguzi

12:51 PM

Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake katika Jimbo la Ubungo katika uchaguzi wa mwaka 2010, hukumu iliyotolewa leo na Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Pichani wafuasi wa Chadema wakiwa wamembeba juu kwa juu mara baada ya kutangazwa mshindi.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA