TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, April 24, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni

7:37 PM

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23,2012.
  Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Bunge  Mjini Dodoma, Aprili 23,2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule  ya Msingi ya   Eckernforde  ya Tanga kwenye  viwanja vya Bunge Mjini Dodoma , Aprili 23, 2012
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na  wanafunzi wa shule ya Msingi ya Eckernforde ya Tanga kwenye viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma  Aprili 23, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA