Huu ni mtaa sehemu ya makazi ya watu mji wa mysore India mji umepangiliwa vizuri na barabara zote mtaani zina lami,swali langu ni kwamba viongozi wetu wa Tanzania walikua wapi miji yetu ipo ipo tuu.hakuna mpanglio toka tumepata uhuru mpaka tumesherekea miaka 48 ya mungano.
0 comments:
Post a Comment