TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, April 30, 2012

Sherehe za Muungano Zilivyofana Nchini Uingereza zilivyobamba

11:54 AM

 Mh Balozi Kallaghe Akitoa hotuba juu ya Muungano.
 Mh Balozi na Mama Balozi wakifungua Mziki.
 Mh Naibu Balozi Kilumanga akicheza na Mchumba wake Irene.
 Wakati wa cheers .
wadau wakiruka majoka.
---
Salam,
 
Urban Pulse na Miss Jestina Blog wanakuleta taswira ya sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika hapa Tottenham, london Jumamosi tarehe 28.4.12.
 
Sherehe hii ilihudhuriwa na wadau mbalimbali, Mgeni rasmi alikuwa balozi wetu Mh Peter Allan Kallaghe akifuatana na mkewe, Naibu balozi pamoja na baadhi ya maofisa wa Ubalozi wetu hapa jijini London.
 
Aidha wakati  akitoa hotuba yake Mh Balozi Kallaghe ailiwashukuru wadau na watanzanzia wote waliojitokeza leo kuja kuadhimisha sherehe hii na kuwasihi kuendeleza kudumisha muungano wetu uliodumu kwa miaka 48 sasa. Pia aliwaomba wadau wote kuendelea kufuatilia mchakato mzima wa kutafuta katiba mpya ya nchi yetu unaondelea nyumbani.
 
Kwa picha zaidi za matukio bofya hapa.....>>>
Sherehe hii iliandakiwa na  Swift Freights UK pamoja na Pit Stop '' Uwanja wa Nyumbani''
 
Asanteni,
 
Urban Pulse na Miss Jestina Blog

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA