Kutoka kushoto ni Bruno Mazali, Les Brown wakiwa na mdau ambae jina lake alikupatikana walipokua kwenye mkutano wa CEO SPACE (Club ya wajasiliamali Marekani) uliofanyika Bethesda, Maryland alhamisi April 12, 2012
Bruno Mazalia akijikatia kamnofu kutoka kwa mpishi maalum kutoka Spania kwa hisani ya SWAHILIVILA BLOG.
|
0 comments:
Post a Comment