TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, April 13, 2012

MKAZI WA MWANZA BW.REVOCATUS MKAMA AMEJISHINDIA SHILINGI MILIONI 10 KWENYE PROMOSHENI YA M PESA YA VODACOM TANZANIA

6:40 PM

 Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuchezesha Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Milioni 10 wa promosheni ya M-PESA,ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,Jumla ya shilingi Milioni 300 zimetolewa kwa washindi wa promosheni hiyo tangia ianze kuchezeshwa,Kulia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
 Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akionesha nambari ya Mshindi wa Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Milioni 10 wa Ahudia kushoto ni Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid,kulia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
Muendeshaji wa mfumo wa Teknologia ya habari na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Tulisindo Rashid kushoto,akifuatilia jinsi komputa inavyochezesha nambari za washiriki wa Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Mlioni 10 wa promosheni ya M-PESA, ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,wanaoshuhudia wa pili toka kushoto  ni Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid,Meneja Mawahusiano Matina Nkurlu, Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA