Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Salimin Awadh, nae akichangia marekebisho ya Sheria ya Utumishi wa Umma, katika mkutano wa Baraza la Wawakilishi unaoendelea kujadili marekebisho hayo leo katika kikao cha asubuh.
Mhe. Ali Mzee, na Mhe. Nassor Mazrui (Mtoni)wakijadili jambo wakitoka Ukumbi wa Mkutano baada ya Kikao cha asubuhi.
Kushoto Mhe. Mahamoud Mohammed Mussa (Kikwajuni) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Ramadhan Abdalla Shabani, wakibadilishana mawazo wlipokuwa wakitoka Ukumbi wa Mkutano.
Wawakilishi wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano baada ya kumalizika kikao cha asubuhi,kushoto Mhe.Machano Othman (Muembemakumbi) na Mhe.Ali Abdalla(Mfenesini).wakitoka katika ukumbi wa mkutano.
Mwakilishi wa nafasi za Wanawake Asha Bakari Khamis, akichangia katika mkutano wa baraza la Wawakilishi kupitisha Miswada iliowakilishwa katika mkutano huo unaoendelea katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza wakipitia Mswada wa marekebishi ya Sheria ya Utumishi wa Umma.ikichangiwa na wajumbe katika ukumbi wa mkutano.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa ndani ya Mjengo wa kutunga Sheria, wakiwa katika Kikao cha Asubuhi wakiendelea na uchanguaji wa Marekebisho ya Sheria ya Utumishi wa Umma.inayoendelea kujadiliwa na Wajumbe katika Ukumbi huo wa Mkutano.
Mhe. Ali Mzee, akisisitija jambo na Mwanasheria Mkuu wa Sherikali Zanzibar Othman Masoud,(katikati) na Mhe Ismail Jussa (Mjimkongwe) wakiwa nje ya jengo la baraza baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi katika
|
0 comments:
Post a Comment