TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, April 25, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. GHARIB BILAL AADHIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI NA KUZINDUA RIPOTI YA MAFANIKIO A UTEKELEZAJI WA MIKAKATI YA MALARIA TANZANIA BARA.

8:39 PM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa Kilele cha sherehe za maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, zilizofanyika leo Aprili 25, 2012 katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Katika sherehe hizo pia Makamu wa Rais alizindua Ripoti ya Utekelezaji wa Mikakati ya Malaria Tanzania Bara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe, kuzindua Ripoti ya Mafanikio ya Utekelezaji wa Mikakati ya Malaria kwa upande wa Tanzania Bara, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Malaria Duniani zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo Aprili 25, 2012. Katikati ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Haji Mponda (wapili kushoto) ni Kaimu  mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Temeke na Ilala, Jordan Lugwimbana. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA