TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, April 22, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL ASHIRIKI MAZISHI YA BRIGEDIA GENERAL MSTAAFU ADAM MWAKANJUKI UNGUJA

11:19 PM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka mchanga katika kaburi la Brigedia General Mstaafu, Adam Mwakanjuki, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo, Aprili 22, 2012.
 Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Shimbo, akiweka mchanga katika kaburi la Brigedia General Mstaafu, Adam Mwakanjuki, wakati wa maziko yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo, Aprili 22, 2012.
Mke wa Marehemu Brigedia General mstaafu, Adam Mwakanjuki, Bi. Ikupa Mwakanjuki, akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mumuwe, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Mwanakwerekwe mjini Unguja leo, Aprili 22, 2012.
 Watoto wa marehemu, wakiweka mchanga.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA