TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, April 13, 2012

Kutoka Kongamano La Kigoda Cha Mwalimu Nyerere

6:33 PM
Mwandishi mkongwe,  Jenerali Ulimwengu akisoma kitabu cha Mwalimu Nyerere kwa washiriki wa Kongamano hilo.
  Rais wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa (wa pili kulia), akimsikiliza mwandishi mkongwe Jenerali Ulimwengu wakati akipitia yaliyoandikwa kwenye kitabu cha Mwalimu Nyerere kabla ya kuzinduliwa katika Kongamano la nne la kitaaluma la Julius Nyerere lililofikia tamati Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),
   Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Mukandara (kushoto) akiwa na Profesa Issa Shivji
   Waziri Mkuu wa zamani, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) akiwa na akiwa na mwansiasa mkongwe, Joseph Butiku (kushoto kwake) wakisikiliza kwa makini wakati wa kongamano hilo.
Mwezeshaji wa Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Profesa Micere Mugo (kulia), kutoka Kenya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha  Mwalimu Nyerere kinachoelezea makala na hotuba zake katika Kongamano la nne la Kitaaluma la Julius Nyerere lililofikia tamati Ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Nyerere, Profesa Issa Shivji.Picha na Dotto Mwaibale

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA