TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, April 8, 2012

JK Akutana na Viongozi Wa Kampuni inayoshughulika na Mifumo Mikubwa ya Umwagiliaji Mashamba Kutoka India ya Jain Irrigation Systems

11:13 AM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa Kampuni inayoshughulika na mifumo mikubwa ya umwagiliaji mashamba kutoka India ya Jain Irrigation Systems ikulu jijini Dar es Salaam jana.Wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bwana Atul Jain watatu kulia ni Mwakilishi wa Kampuni hiyo nchini Tanzania Bi.Rupa Suchak na kushoto ni Naibu mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jain Bwana Sharma.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA