TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, April 5, 2012

Godbless Lema avuliwa Ubunge Arusha Mjini na mahakama

2:01 PM
Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema

Taarifa za uhakika zilizotua hivi punde katika mtandao huu kutoka mkoani Arusha zinadai kuwa mahakama kuu kanda ya Arusha imetoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo katika jimbo la Arusha Mjini na kuteungua ubunge wambunge wa jimbo hilo Godbless Lema .

Hivyo kwa sasa jimbo hilo halina mbunge baada ya mbunge wake Lema kushindwa kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2010.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA