TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 6, 2012

Una kila sababu ya Kumshukuru Mungu

6:14 PM

Mara nyingi tunapo pata ajali tu na kupoteza baadhi ya viuingo vya
miili yetu tua mlalamikia sana Mungu.Lakini kuna wengine wanatamani
hata huo mguu/mkono
mmoja ungekuwa nao.

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo,...Nick Vujicic (Tamka Nick Voicheech)
alizaliwa bila mkono wala
mguu,...alimshukuru Mungu ingawa alipitia mengi sana hadi kuwa hapo alipo leo.

Ni motivational speaker,ametoa dvd yake inaitwa "No arms,no legs,no
worries" ni nzuri sana.
Ina kupa moyo wa kusonga mbele na kuto choka katika kila hali.

itafute You Tube na umshukuru Mungu kwa kukupa miguu na mikono

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA