![]() |
Issa Michuzi akionesha tuzo yake muda mfupi baada ya kutunukiwa na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Lucy Nkya .
Mmiliki wa Blog maarufu ya Michuzi, Muhidin Issa Michuzi, akipatiwa tuzo na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Lucy Nkya baada ya kuwa mmoja wa mashujaa waliosaidia mfuko huo kusonga mbele, Hivi sasa Issa Michuzi ni Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais.Picha na Mdau Richard Mwaikenda
|
Wednesday, March 21, 2012


0 comments:
Post a Comment