TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 29, 2012

Semina ya mawakala wa REDDS MISS TANZANIA 2012 yafunguliwa rasmi

5:02 PM

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, ambao pia ni Waandaaji wa Redds Miss Tanzania 2012, Hashim Lundenga akifungua rasmi semina ya mawakala wa Miss Tanzania 2012 jijini Dar es Salaam hii Leo. Kushoto ni Meneja wa Kinywaji cha Redds, kutoka Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) Victoria Kimaro.
Lundenga alisema kuwa Kamati hiyo kupitia wadhamini wamedhamiria mwaka huu kufanya mapinduzi makubwa katika tasnia ya Urembo nchini na waandaaji pia wamedhamiria kupata warembo bora watakao shiriki shindano hilo la urembo mwaka huu.
Lundenga pia alitoa kaulimbiu ya mashindano hayo kwa mwaka huu kuwa ni “MSHINDI BORA, MWAKILI BORA MWENYE SIFA BORA”
BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA