TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, March 21, 2012

Rais Jakaya Kikwete Awaapisha Wakuu Wapya Wa Mikoa Ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita Ikulu Jijini Dares Salaam

9:00 PM
 Rais Kikwete akimwapisha Mh Magalula Saidi Magalula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais Kikwete akimwapisha Dkt Rajab Mtumwa Rutengwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi
 Rais akimwapisha Kapt. Paschal Kulwa Mabiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Kapt Asery Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika sherehe zilizofanyika leo asubuhi Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na wakuu wa Mikoa ya Simiyu, Katavi, Njombe na Geita.Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA