| Mabondia, Selemani Galile (kushoto) na Tomasi Mashali wakitazamana kwa usongo wa kila mmoja kutaka kuchukua mkanda wa ubingwa wa mchezo wa masumbwi wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini TPBO walipokuwa wakitambulisha pambano lao jijini Dar es Salaam jana. Pambano hili linatarajia kufanyika Aprili 9, mwaka huu. Katikati ni Rais wa Oganaizesheni hiyo, Yasin Abdallah Mwaipaya. Picha na Super D |
0 comments:
Post a Comment