TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, March 5, 2012

Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Adamu Malima Akimsikiliza kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki Kuzuia Kwa Muda Msafara wa Naibu Waziri huyo katika Kijiji Cha Muze

6:17 PM

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adamu Malima akimsikiliza kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki kuzuia kwa muda msafara wa Naibu Waziri huyo katika kijiji cha Muze jana akiwa njiani kwenda kijijini Musiya katika Bonde la Ziwa Rukwa, hata hivyo alikuwa tayari kusikiliza kero zao ikiwemo kero kubwa ya maji inayokikabili kijiji cha Muze kilichopo katika bonde hilo, wilayani Sumbawanga Vijijini.Picha na Peti Siyame

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA