TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 15, 2012

Mkutano Kati Ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe na Rais Mstaafu Wa Zambia Kenneth Kaunda

9:58 PM
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mheshimiwa Zitto Kabwe Kisalimiana na Rais Mstaafu Wa Zambia Mzee Kenneth  Kaunda leo ofisini kwake Lusaka,Zambia
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Mheshimiwa Zitto Kabwe Wakifurahia Jambo baada ya kumkumbusha uamuzi wao na Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA