TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, March 30, 2012

Lowasa na Shy-Rose Banji Monduli leo

12:59 PM
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB,Shy-Rose Bhanji ambaye amefika Wilayani Monduli leo kwa kutoa msaada wa sh. 10 milioni uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya wahanga wa Mafuriko yaliyoukumba mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli.Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Vicky Bishubo.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,Mh. Jowika Kasunga (kulia) pamoja na DAS wa Monduli,George Mjema wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo. Habari naelezo kwa hisani ya Father kidevu

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA