TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 29, 2012

Kampeni Za Chadema Arumeru Mashariki

12:26 AM
Nassari akiwa karibu na helkopta,usafiri anaoutumia kwenye kampeni zake.Anafanya mikutano mitano hadi sita kwa siku
 Mwenyekiti wa Chadema, Mbunge wa Hai na Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh.Freeman Mbowe akimuombea kura Nasari
 Mzee maarufu wa CCM aliyerejesha kadi na kujiunga CHADEMA akimnadi Joshua Nassari
Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki(Chadema) Joshua Nassari akiomba kura katika kijiji cha Nshupu jana
Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki(Chadema) Joshua Nasari akisalimia watu baada ya mkutano
Nasari(katikati) akisindikizwa kwenye helkopta.Kushoto ni Kamanda Renatus Mrashani katibu wa CHADEMA mkoa wa Dar es salaam,na kulia ni kamanda Jackson Makala.Picha na Jacson W. Makala-Arumeru

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA