TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, March 3, 2012

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAMTANGAZA SIYOI SUMARI KUWA MGOMBEA WAKE ARUMERU

11:11 PM

Kamati kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) iliyokuwa imeketi leo imemaliza kikao chake jioni hii na kumtangaza rasimi aliyeshinda kura za maoni Bw Siyoi Sumari kuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kusaidia kutetea jimbo hilo dhidi ya vyama vya upinzani.

Taarifa zilizotua hivi punde katika mtandao huu kupitia studio za radio uhuru zinadai kuwa kutangazwa kwa mgombea huyo ni mwanzo wa CCM kuingia katika kinyang'anyiro hicho

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA