TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, March 26, 2012

Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Chapewa Usajili Wa Muda

10:05 PM
Mwenyekiti wa ADC, Said Miraji (kulia) akionesha cheti cha usajili wa muda
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa (kushoto) akimkabidhi cheti cha usajili wa muda Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Said Miraji katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam
Wafuasi wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) , wakipeperusha bendera ya chama hicho kipya huku wakiwa kwenye pikipiki wakati wakitoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini baada ya chama chao kupata usajili wa muda Dar es Salaam.Picha na Richard Mwaikenda

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA