
Benki ya Posta Tanzania imekabidhi sh.milioni 5 kwa shule ya Chumbuni Zanzibar ukiwa ni msaada wa kununulia madawati kwa shule hiyo. Pichani Meneja mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi mfano wa hudi kwa Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pereira Ame Silima katika sherehe iliyofanyika kwenye shule hiyo jana.Picha na Martin Kabemba
0 comments:
Post a Comment