Umati wa watanzania waishio nchini Italia jana asubuhi 14 Jan. 2012, walijumuika kwa pamoja mjini napoli kuuaga mwili wa marehemu Twahir Hussein Omari, maarufu kwa wengi kama "Mboga Zote". Mwili wa marehemu utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tanzania kwa mazishi na shirika la ndege la KLM. Mazishi yatafanyika mkoani Tanga.Mwenyezi Mungu mlaze marehemu mahala pema peponi amen
0 comments:
Post a Comment