TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, January 30, 2012

Rais Jakaya Kikwete Kwenye Mkutano Wa 18 wa Umoja wa Afrika Addis Ababa Ethiopia

10:16 AM

Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012 Jengo hilo, ambgalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda mti kama kumbukumbu ya mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Viongozi wa Afrika wanasimama wakati wimbo wa Umoja wa Afrika unapigwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernrd Membe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Fedha na Uchumi) Dr Mwinyihaji Makame Mwadini katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Viongozi wa Umoja wa Afrika Wakiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa China Mr Hu Jintao na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mr Ban Ki-Moon Kwenye Makao Makuu Ya Umoja wa Afrika Addis Ababa Leo  Tarehe 29.Picha na IKULU

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA