Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dk Batilda Burian leo amekuja Kumuaga Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Ofisini Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es salaam kabla ya kuwa balozi Dk Batilda Burian Aliwahi Kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira .Picha na Ali Meja
0 comments:
Post a Comment