TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, October 11, 2011

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana Na Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Brazil

3:03 PM



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil   Antonio de Aguiar kabla ya mazungumzo yao kwenyeOfisi za Wazira ya  Mambo ya Nje wa nchihi hiyo katika ofisi zilizoko Brasilia, October 10,2011.
Waziri Mkuu, Mizedngo Pinda kiongozwa kuingia kwenye Ofisi za Wazra ya  Mambo ya Nje ya Brazil jijini Brasilia kukutana na Waziri wa Mambo ya  nje wa nchi hiyo, Antonio de Aguiar, (hayupo pichani)  October  10,2011.     
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA