TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, October 12, 2011

Rais Dr shein awapongeza wanafunzi waliofaulu vizuri katika masomo yao.

10:31 AM

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea risala kutoka mwanafunzi  Ali Omar Ali,kwa niaba ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na walimu na  wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibarleo.
Baadhi ya wanafunzi  bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika hafla ya kuwapongeza kutokana na kufaulu vizuri katika mitihani yao,huko Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA