TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, October 13, 2011

Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cleopa Msuya Ahutubia Mkutano wa Wana Hisa TBL

2:48 PM


Waziri Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cleopa Msuya (wa pili kulia), akihutubia katika mkutano mkuu wa mwaka wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche na kutoka kushoto ni viongozi wa kampuni hiyo,na Katibu wa kampuni hiyo, Haruna Ntahena. Waziri Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cleopa Msuya (wa pili kulia), akihutubia katika mkutano mkuu wa mwaka wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche
Mkurugenzi wa Miradi Maalum, Phocus Lasway (kushoto), akifafanua jambo kuhusu mpango wa kuwasaidia wakulima wadogo wadogo wa kilimo cha shayiri nchini. zao hilo linatumika kutengenezea bia.
Mwanahisa wa TBL, Mzee Kibonde kutoka Rungwe mkoani Mbeya, akichangia hoja wakati wa mkutano huo.
Mwanahisa wa TBL, Grace Nabur akichangia hoja katika mkutano huo.
Mwanahisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Eddy Mushi akichangia mada wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.
Waziri Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cleopa Msuya (kulia), akiagana na wanahisa baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa mwaka wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa TBL, waliofanikisha mkutano huo.

1 comments:

Kijana Mwenye Hasira !!! said...

Hivi vizee havifi tu jamani na vijana nao wakachukua hizi nafasi??? Stupid !!!

Post a Comment

 
BONYA HAPA