Mmoja wa wasanii nyota wa Tusker All Stars 2011kutoka Tanzania,Peter Msechu akiwarusha wakazi wa jiji la Nairobi,usiku huu kwenye viwanja vya carnivo ndani ya tamasha la Tusker all Stars.
Picha ya pamoja kwa furaha kabisa mara baada ya kuhakikisha tamashala Tusker All Stars 2011 linakwenda sawa ndani ya viwanja vya Carnivo,jijini Nairobi.Mkurugenzi wa Prime time promotions Ltd pichani kulia,Johayna Kusaga akiwa na marafiki zake ambao pia wakuja kushuhudia tamasha la Tusker All Stars 2011,ndani ya jiji la Nairobi.BOFYA HAPA


0 comments:
Post a Comment