![]() |
| JINAMIZI la ajali za barabarani zimeendelea kumaliza watu Mkoani Mbeya,baada ya watu 14 wafariki dunia na wengine 41 kujeruhiwa vibaya baada ya gari aina ya Mitsubish Fuso waliyokuwa wakisafiria kutoka mnadani wilayani Chunya mkoani hapa kupinduka. Waandishi wa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kutoka Mbeya Moses Ng'wat na Esther Macha wanaripoti kuwa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Anacret Malindisa, alisema tukio hilo la ajali lilitokea Septemba 24 mwaka huu majira ya 9;30 alasiri katika eneo la kijiji cha Msangamwelu wilaya ya Mbeya vijijini barabara ya Chunya-Mbeya. BOFYA HAPA |
Monday, September 26, 2011


0 comments:
Post a Comment